Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
SS7Mechi inaonyeshwa wapi
Hata Mimi nmeomba sana isiwe kweli lakin tuwepo kushuhudia maombi yetu kama yamekubaliwaNdoto tasa ....I rebuke this dream in Jesus name!
Jisogeze kwenye tv mkuu uone kipigo tutakachopewaWachawi kama nyinyi Mungu huwaumbuaga kabla hata hakujacha.
Naona Kocha kaamua kupaki basi
Mechi inaonyeshwa wapi
Shindwa Pepo!!!Sina mengi sana na pia nimejitahidi nisiiseme hii ndoto yangu mbaya nliyoipata Leo usiku juu ya taifa stars.
Nmeona namna tutakavyo pigwa na wenyeji wetu, na hakuna namna ni kukubali tuu matokeo na turudi kujipanga upya kwa awamu inayokuja ila kwa hii hakika hatuna bahati. Resotho wamecheza mpira vizuri na taifa stars tumejitahidi kucheza vizuri lakin nafasi chache tulizozipata hasa ile ya bocco kutozaa matunda lakin wenzetu wamepata chache na mbili wamefanikiwa....
Najua wengi mtakuja na povu la uzalendo lakin tuyakubali matokeo na kukubali pia ni uzalendo, mtakao kwenda kutazama mpira mjindae mapema Leo tunafungwa na safari yetu inaishia south.
Mechi inaonyeshwa wapi
upo saronyiwa kwa wauza papuchi.Obadia karibu nyankumbu kwenye ukumbi wa mpira hapa tunaona fresh
Bado dakika tano kipigo kianzeShindwa Pepo!!!
Bado dakika tano kipigo kianze
Bado dakika tano kipigo kianze
Hata kale kalikomfukunyua 'amba ruti' kadogo kadogo tu.Hiyo ndoto ya uongo,kama jina la timu tunaocheza nao huijui sasa ndoto yako itakuwaje ya ukweli? Resotho ndo nchi katika bara gani?
Mdomo wangu umebaki wazi
Naona mabeki tisa uwanjanKwanini ndugu!??
Duh...Naona mabeki tisa uwanjan