Kufuzu AFCON-2019: Stars yashindwa kufunga mahesabu mapema! Yakubali kipigo cha goli 1-0 kutoka kwa Lesotho

Huyu Manula ugolikipa wa wapi huu, kachukua mpira kautia ndani kirahisi tu, na yule mchezaji mfupi sana nae kazubaa na nguzo yake hapohapo, ambavuu sana hawa
 
Kuna mtu kawatia gundu TZ..huyu mwakyembe akae mbali na hii timu . Ikiwezekana hata huyo mkubwa pia..
 
We only needed one Game to win. Siku zote huwa ni hivi hivi, tunashinda mechi zisizo na umuhimu, zile za umuhimu tunashindwa? Nakumbuka kipindi cha Emmanuel Gabriel, tulishindwa shinda mechi muhimu na Mauritius. .

Na leo tena
 
Huyu kocha ni tatizo kubwa....sura yake chafu yenye "makunyanzi" haijamsaidia kuwa na busara za kupanga kikosi cha ushindi...poor Amunike, poor Tanzania.....akirudi afukuzwe ili machungu yatupoe kidogo
 
Ningekuwa mm rais hawa jamaa ningewakata mishahara yao irudi milioni 50. Hii timu inaumiza sana mioyo ya wtz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…