Kufuzu AFCON 2021: Libya 2 - 1 Taifa Stars | Mchezo wa mzunguko wa pili Kundi J

Nafasi nyingine hii ya wazi kabisa libya wanakosa goli la kibwetere
Ibaki hivyo hivyo tuu wakose.. Tukishinda tuu hii mechi tayari tumeshafuzu.. Tutatafuta ushindi mmoja na sare moja tuu tunamaliza mchezo
 
Bongo zozo yupo huko kakiwasha ni hatari sana lazima taifa stars ushindi.
 
Refa kaweka penalt baada ya kuona mchezaji kasshika lakini marudio yanaonesha hakushika
 
Goaaaaal libya wanapata bao la kusawazisha hapa baada ya kupiga mkwaju wa penalt
 
Hii mechi ni yetu ila tunachezea chezea,na baadaye tunaweza kufungwa sisi.......ningekuwa Kocha ningemtoa Samata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…