Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Ile mechi ya kula sana mate, nyonya sana......! Lamba sana.....! Halafu unapima oil, fresh! 😁😁 Peleka sana moto....! Halafu baadae kidogo Waalgeria haoooo wanatoka!! (Ule uzi bhana 😁)

Ila Kim hajamtendea haki George Mpole! Alistahili kabisa kuanza kwenye hii mechi.
Nakubaliana na wewe mpole alitakiwa aanze.
 
Hivi hii timu ina mpango wa kushambulia kweli? Mbona sioni mipango
Uwezekano wa kupata goli haupo! Sisi tutaupiga tu mwingi!

Maana kocha kaua namba 9! Angekuwepo George Mpole pale kati, walau matumaini yangekuwepo.

Na mabeki wetu wa kati wakizubaa tu, tunapigwa faster. Jamaa wanategemea zaidi krosi za pembeni, na hasa upande wa Mohamed Hussein Zimbwe Jr.
 
Kinachonifurahisha utulivu tulionao tukitulia zaidi tunaweza kupata goli
 
24”
0-0
Mohamed hussein anakaza sana[emoji1434]
 
Back
Top Bottom