Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Tunacheza huku tumerelax, nao wamegundua wameamua kurelax wasipoteze nguvu..niwambie ukweli hawa wakiwa kwao wanakimbia kinyama yani mda wote wanaforce
 
Kibabage anafanya nini ndani
Yaani Kibabage ndiyo anaharibu mtitiriko wa mashambulizi kule mbele. Naamini atapewa sub mapema sana kipindi cha pili kama mwalimu wake ataendelea kumvumilia.
 
Nafatilia mpira huu Happ buza kwa rulenge Niko na Malaya mmoja kashanitafuna elf 13000 yangu nimeszitisha kumnunulia bia had atoe zigo hata kimoja baada ya half time vinginevyo nimekubali hasara hyo na kazi iendelee kwa taifa star kuwapiga kina. Manrez


Sitaki ujinga kwa huku
 
Yaani mna comment as if mpo level moja na Algeria kimpira
Mpira unachezwa uwanjani! Ukijiandaa vizuri na ukimheshimu mpinzani wako, utapata matokeo mazuri!

Ukiogopa jina au kiwango, ukakosa nidhamu ya mchezo! ndiyo unafungwa sasa.
 
Alafu refa yuko upande wetu masikinii. Penati mbili sasa kapeta
 
Timu mbele hakuna muunganiko km wana uoga kwa kuangalia profile ya algeria.tujilipue tu tunaweza pata chochote huko mbele

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…