Ndio maana ya levelsHamna kitu. Hatuna timu tu
Na Mungu katulaniAlafu refa yuko upande wetu masikinii. Penati mbili sasa kapeta
Kwenye Mpira lazima ukubali tunatofautiana levelsMpira unachezwa uwanjani! Ukijiandaa vizuri na ukimheshimu mpinzani wako, utapata matokeo mazuri!
Ukiogopa jina au kiwango, ukakosa nidhamu ya mchezo! ndiyo unafungwa sasa.
Ujinga ujinga. Mijitu wala haijitumiNdio maana ya levels
Kim angebaki timu za vijana.Funga hao tz 0:1
Yaani Nickson Kibabage ndiyo akupe matokeo! Sahau aisee! Unawaacha watu wazima nje, unachezesha watoto, halafu utegemee matokeo!Inabidi kipindi cha pili vijana wajitume
Labda plan itabadilika second halfYaani Nickson Kibabage ndiyo akupe matokeo! Sahau aisee! Unawaacha watu wazima nje, unachezesha watoto, halafu utegemee matokeo!