Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

62' George Mpole na Kelvin John wameingia kuchukua nafasi za Faisal na Msuva

Tanzania 0-1 Algeria
 
Samatta anabakiaje ndani??? Hakuna mchezaji hapa sasa.
Msuva aanze kutafuta timu, hata Caostal union fresh tu ili awe katika kiwango sahihi
 
Samatta anabakiaje ndani??? Hakuna mchezaji hapa sasa.
Msuva aanze kutafuta timu, hata Caostal union fresh tu ili awe katika kiwango sahihi
Msuva ameshatoka, Samatta ni Star wetu hawezi toka saizi 🀣
 
Yeyote afunge basi watu angalau tupate hela kama matokeo hayapatikani,goli moja tu 🀣🀣......maana yanahitajika mawili
 
Ushindi unaanza kuutafuta mapema mkuu ukiwa home,siyo jioni
Kocha alishachemka tangu mwanzo kwa kumuanzisha Kibabage, badala ya George Mpole. Tukipata harmta sare tu, basi tunastahili pongezi.

Ila kiukweli kipigo kwenye hii mechi, hakikwepeki! Maana timu yetu ni dhaifu zaidi kuliko timu zote za kwenye kundi letu.
 
Manula anafanya nini sasa,nataka goli moja tu 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…