escrow one
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,473
- 2,868
Goli limegoma 😂😂😂Hivi Mtanzania mwenye asili ya Congo mbona kila muda yupo offside tu 🤣🤣🤣,aturudishie uraia wetu kama hatasawazisha 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli limegoma 😂😂😂Hivi Mtanzania mwenye asili ya Congo mbona kila muda yupo offside tu 🤣🤣🤣,aturudishie uraia wetu kama hatasawazisha 🤣🤣
Bob Marley kazi anayoiweza ni ubaunsaHivi Mtanzania mwenye asili ya Congo mbona kila muda yupo offside tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787],aturudishie uraia wetu kama hatasawazisha [emoji1787][emoji1787]
Roho mbaya tu ya Algeria,mboga wenzao Uganda wametoa bila shida 1.5+Goli limegoma 😂😂😂
Na offsidesBob Marley kazi anayoiweza ni ubaunsa
Hawa wajinga hawataki nipate hiyo 37🤣🤣Enyi mizimu ya mababu msaidieni Chukwu emeka goli jingine lifungwe ameeeeen
Kwann Tz, Ug na Niger tusikubaliane kumuachia Algeria aende zake ili tuigombanie nafasi ya pili 😂Algeria anaweza kufuzu baada ya mechi 4 tu
Ingekua ni mchezaji wa taifa star kasukumwa vile bado ungekua na hayo mawazo?Punguza ujinga, penat zipi?
Yeah ingependeza 🤣🤣🤣Kwann Tz, Ug na Niger tusikubaliane kumuachia Algeria aende zake ili tuigombanie nafasi ya pili 😂
Umeona mizimu ya mababu ilivyojibu mapema 😂Yeees 2 zimepatikana,usipopata matokeo,pata hela 🤣🤣🤣