Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Kufuzu AFCON 2023 | Taifa Stars 0-2 Algeria | Uwanja wa Benjamin Mkapa

Dah! Ila Sure Boy amejitahidi sana kuchangamsha kiungo cha juu!

Dah! Ila wachezaji wa simba leo wamecheza chini ya kiwango! Kuanzia Zimbwe, Kibu, na hata Aishi Manula! Yaani hata haongei! Amekaa golini kama kuku wa kisasa!

Rest in peace Taifa Stars. Wasichana wanafanya vizuri, nyinyi mnafungwa fungwa tu.
 
Back
Top Bottom