kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,450
- 2,013
Msuva je? Huyo nda hatakiwi hata kuwa kikosini
Yaani Kibabage ndiyo anaharibu mtitiriko wa mashambulizi kule mbele. Naamini atapewa sub mapema sana kipindi cha pili kama mwalimu wake ataendelea kumvumilia.