Kufuzu Fainali za CHAN: Tanzania 1 - 1 Rwanda

Sikuona sababu ya hii game kupigwa Mwanza,maana hata Taifa Stars uwanja umewagharimu kwenye ku control mpira

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sikuona sababu ya hii game kupigwa Mwanza,maana hata Taifa Stars uwanja umewagharimu kwenye ku control mpira

Post sent using JamiiForums mobile app
Uwanja wa mwanza umejaa matope sana. Nyasi nyingi sana kiasi kwamba kucheza yataka moyi
 
Aisee dah !! Sijui tumelogwa walai, mayanga Na wachezaji wake wametuangusha sana kiufupi mi naona kama wachezaji tz no wazembe Na wasio jielewa hasa.
 
Mayanga uwezo mdogo mnoo

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Yaani huo mpira uliochezwa ni ugoro mtu,Msuva,Bocco na Kichuya kule mbele niliona wanakimbiakimbia tu bila malengo yaani kana kwamba hawajui wafanye nini

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Sikuona sababu ya hii game kupigwa Mwanza,maana hata Taifa Stars uwanja umewagharimu kwenye ku control mpira

Post sent using JamiiForums mobile app
Ligu kuu VPL wanatumia viwanja gani? Wachezaji hawana control.
 
Kocha huyo hana uwezo...tukubali. Kuanzia uteuzi hadi upangaji ni ovyo. Ana mapenzi na wachezaji wa timu fulani.
 
Timu ya taifa kwa nini tusiwatumie vijana wetu kuliko hao wazee, choka mbaya wanacheza kibitozi... Hakuna timu hapo, tangu kwenye COSAFA ni Kubahatisha kila game, hakuna cha kueleweka.... Hatuna wachezaji wa kutosha kuipata timu ya taifa ushindi , kocha ni bla bla tu.
 
Baada ya nyasi kuwaka moto zimamoto walikuepo ama.
 
Kocha ni hopeless sn

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi msuva na kichuya wanafanya nini hapo!?
Mbona huwa wanakimbia kimbia tu?


Kusema ukweli Msuva na Kichuya hawapaswi kucheza pamoja.

Nilishampa ushauri kocha lakini hataki kunisikiliza. Akitaka ubora wa vijana hawa, wanapaswa kugombania namba. Msuva kwa sasa ni mchezaji mkubwa na anapaswa kufanya zaidi ya anachofanya. Nilitegemea timu pinzani zingekuwa zinamkaba yeye zaidi lakini ndio anaongoza kwa kupoteza mipira na pia hakabi vizuri.

Huyu Kichuya naye ni kama homa za vipindi, anakaa sana na mpira na kwenye mechi ya juzi hakufanya chochote cha maana. Angalau yeye anaweza kukaba.

Kwenye mechi ijayo, kocha atengeneze partnership ya John Bocco na Rafael Daudi inaweza kulipa sana. Bocco ni striker mzuri ambaye ahatumiki vizuri. Mechi ya juzi hajatengenezewa nafasi yoyote ya kufunga lkn yeye ndio alikuwa anatengeneza!!! Winga mmoja tu anatosha hususani akianza na Kichuya ambaye ni mkabaji mzuri pia halafu baadae Msuva anaweza kuja na kuleta kitu kipya. Katika kiungo Mzamiru na Himid Mao washike hatamu huku beki ya kati ikiwezekana Mbonde apumzike acheze Nyoni na Nurdin Chona.
 
Timu lazima iwe mbovu. Kama hao Simba na Yanga wanarukaruka tu kama mchele wa kichina unategemea timu ya taifa itakuaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…