Ally maganga
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 1,433
- 913
nipeni matokeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwanja wa mwanza umejaa matope sana. Nyasi nyingi sana kiasi kwamba kucheza yataka moyiSikuona sababu ya hii game kupigwa Mwanza,maana hata Taifa Stars uwanja umewagharimu kwenye ku control mpira
Post sent using JamiiForums mobile app
Leo 1-1 Na Rwanda nyumbani, what do you expect after dat [emoji47] [emoji47] [emoji47] [emoji47]ya lini hiyo
Post sent using JamiiForums mobile app
Ligu kuu VPL wanatumia viwanja gani? Wachezaji hawana control.Sikuona sababu ya hii game kupigwa Mwanza,maana hata Taifa Stars uwanja umewagharimu kwenye ku control mpira
Post sent using JamiiForums mobile app
sasa jiulize ,waliompa hiyo kazi wao wanauwezo gani?. Yaani kocha amejaa unazi tu.Kocha huyo hana uwezo...tukubali. Kuanzia uteuzi hadi upangaji ni ovyo. Ana mapenzi na wachezaji wa timu fulani.
Haaaah aaaaah aaaaah. Nimecheka sana kwanini hatujafungwaKa Kichuya kanarukaruka tu kama kitenesi
Post sent using JamiiForums mobile app
Hivi msuva na kichuya wanafanya nini hapo!?
Mbona huwa wanakimbia kimbia tu?