Wale hawashindwi kitu zingepigwa figisu figisu fitna fitna afu akidi ingetoshelezwa sisi wetu tungekuwa tunagonga chairsKamati ya Ufundi wangepewa NEKI. Hadi sasa hivi matokeo yangekuwa vice vesa.
Algeria walipokuja tanzania walikuja na ndege ya nchi yao, tz tumewapeleka na fastjet,
Kamati ya Ufundi wangepewa NEKI. Hadi sasa hivi matokeo yangekuwa vice vesa.
kushindikana kupatikana kwa mabadiliko October 25 was already a bad omen for anything else good that this country would strive to achieve.
tusubiri beyond 2020....
Jamaa yangu anasema tunachoweza ni kuiba kura wala si mpira
yani hii mechi jecha anahitajika haraka sana maana hawa jamaa wamejishajitangazia ushindi
View attachment 306265 Ngoja tusubili kipindi cha pili ndo chaanza sijui itakuwa sita
jumla ya wapiga kura ni... kura halali ni.,,kura zilizoharibika ni....taifa stars imepata kura....algeria imepata kura.... mshindi ni... amepata kura...
Kamati ya Ufundi wangepewa NEKI. Hadi sasa hivi matokeo yangekuwa vice vesa.