KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Kamati ya Ufundi wangepewa NEKI. Hadi sasa hivi matokeo yangekuwa vice vesa.
Wale hawashindwi kitu zingepigwa figisu figisu fitna fitna afu akidi ingetoshelezwa sisi wetu tungekuwa tunagonga chairs
 
kushindikana kupatikana kwa mabadiliko October 25 was already a bad omen for anything else good that this country would strive to achieve.

tusubiri beyond 2020....

God 2020 its like infinity away.
 
jumla ya wapiga kura ni... kura halali ni.,,kura zilizoharibika ni....taifa stars imepata kura....algeria imepata kura.... mshindi ni... amepata kura...
 
ImageUploadedByJamiiForums1447788103.641329.jpg Ngoja tusubili kipindi cha pili ndo chaanza sijui itakuwa sita
 
Tushachoshwa na majina ya kinyonge. sasa hivi na sisi tujiite simba au chui asiyeshiba
 
Jechaaaaaaaaa weeeeeeee Jitokeze uhairishe hili pambano
 
Tukiambiwa mpira hauna short-cut tunatokwa povuu,kila kitu ujanja ujanja tuu si sijui tutakuja kuweza nini dah.
 
mie nachekelea tu hapa! Niliweka over hii mechi .japo inaniuma timu yangu ila ndo baas tena hakuna namuna
 
jumla ya wapiga kura ni... kura halali ni.,,kura zilizoharibika ni....taifa stars imepata kura....algeria imepata kura.... mshindi ni... amepata kura...

JECHA ametangaza kufuta matokeo yanayotokea huko Algeria amesema mechi imegubikwa na mizengwe
 
Back
Top Bottom