KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

England vs France game linaanza sasa... wacha niangalie huku
 
Mkuu hili neno,maana ingekuwa hapa kwetu ingekuwa aibu sana aiseee

Kabisa, ingekuwa aibu sana! Tunachojitahidi siku hizi ni nyumbani hawachukui kila kitu. Huwa tunawahenyesha kidogo!
Yaani hawa tunaocheza nao wako level nyingine kabisaaa, na hapa hawako desperate, wanajiinjoi tu.
Uwanjani kuna Fc Porto, Sporting Lisbon, Real Sociedad, Leicester City, Spurs, Valencia etc dhidi ya sisi.
 
kiukweli gemu imenishinda nilikuwa naangalia nilipofika idadi ya magoli 7 nikaona wiki imeisha nisije nikaanza na wiki ya pili nipo macho huuyo chumbani kulala. mta nijulisha waungwana kama tulianza na wiki ya pili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…