namwakalima
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 458
- 260
Ndio watu mlidai huyu Kocha alipwe zile mil25 kwa mwezi???
Acheni masihara nyie!!
Kama ni muungwana akirudi ajiuzuru tu!!
Atimuliwe tu,kujiuzuru sio utamaduni wa mTanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio watu mlidai huyu Kocha alipwe zile mil25 kwa mwezi???
Acheni masihara nyie!!
Kama ni muungwana akirudi ajiuzuru tu!!
DuuuuuhBrazil alipigwa 8 tena Kwao. Tumekutana na kigongo
Naomba tupigwe la 8 kabisa!
Ata mm Nilitaka kusema hivyo hivyo.
Mkuu hili neno,maana ingekuwa hapa kwetu ingekuwa aibu sana aiseee
Hata CR7 angekuwa kwenye team chin ya coach mkwasa asingebadili kitu.Samatta kweli yumo?
Yumo kaka,ila watengenezaji mipira hakuna,yaani sasa hivi kama vile wanacheka kigodoro,kila mtu anakata mauno kwa style yake.Samatta kweli yumo?