Kale kawimbo ka CCM "Wataisoma Namba" kameendelea kuleta maana katika nyanja mbalimbali..... Mpaka sasa wapo watendaji wa serikali walioisoma namba, wengine wametoka kuisoma namba jana baada ya kukatwa (rejea yule mzee mwenye jina la namba 10-4=? Sasa leo ilikuwa zamu ya Stars baada ya kuchezea wiki nzima (7).....
Orodhesha na mwingine aliyeisoma namba hapa chini.......
Moderator ukifuta uzi huu utaisoma namba nawewe! Nibora uuhamishie kwenye jukwaa la vitimbwi na vichekesho kwamaana hakuna namna!