KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Ngapi ngapi wakuu? Mi ndio kwanza naamka
 
unadhani hata ngumi tutawaweza???watatupiga kama watoto wao:d:d

sipendi kukata tamaa.
Iko hivi, tungekuwa makini kiasi kikubwa tungweza kuwafunga hata goli tano hapa nyumbani katika mechi ya kwanza. Uwezekano ulikuwa mkubwa sana.
Tungeishangaza dunia na timu yao imgekuwa matatani.

Tatizo hatukubadilisha zile nafasi kuwa magoli. Wenzetu wametumia nafasi vizuri.

Algeria walikuwa kwao na ni timu bora wote tunafahamu hilo. Upinzani walionyesha kombe la dunia ni alama kubwa ambayo huwezi kupuuza. Tunaifahamu ujerumani vizuri na ndio iliyomfumga brazil goli saba pale pale kwao. Algeria kwa sasa ni timu kubwa. Tumekuwa tunaomba waivushe africa kwenda nusu fainali kwa muda sasa.

Tusiipuuze timu yetu, tulicheza vizuri sana nyumbani, kila mmoja anacheza vizuri kwao, ilikuwa tuweke historia kubwa sana siku ile.

Kwa sasa.
1. Mkwasa aikague timu yake, aangalie michezo yote aliyocheza, achambue kwa makini udhaifu tulionao tukiwa home na away, avifanyie kazi hivyo. Apewe mechi ngumu za majaribio sio vitimu vya watoto ni aibu
2. Timu za vijana ndio msingi, vinginevyo tutaendelea kudanganyana milele yote. Huwezi kila siku kukaa unaokota eti huyu azam, yule yanga, yule mbeya city, tutafungwa mpaka mwisho. Timu za vijana,zinazopasiana wachezaji. Grouped below seventeen work hard to give seventeenth, due seventeenth send 23, next to a national team. National team which has stayed firm for a while and not just collection of players for a match....... We should know our position, our soccer is still low compared to many others.
Ghana could be a very good lesson to us. We should learn the way they handle youth teams. The time our youth team with participate in youth competition successfuly is the time the national team will be approaching to its higher success.
 
Mwenye statistics za matokeo ya mechi za Taifa Stars tangu Malinzi aingie madarakani ( mechi ilizocheza,tulizoshinda, sare na tulizofungwa )
 
Tushachoshwa na majina ya kinyonge. sasa hivi na sisi tujiite simba au chui asiyeshiba
Hapo kwenye red nadhani iwe Chui Mwenye Njaa kali.... ili kutishia wapinzani maana Chui aliyeshiba hujificha juu ya mti na kulala
 
Unadhani hata ngumi tutawaweza???watatupiga kama watoto wao😀😀

Ni suala la kujipanga tu, huwa hatupo serious na mambo yetu. Siamini kama kweli tuna nia ya dhati tunashindwa kweli kuchimbua kufahamu tatizo liko wapi. Hizo timu za vijana zote huwa zimapotea tu, utakumbukia ile ya mwaka ule ilikufa ikaja ya akina mbuna ikafa, zipo za airtel rising sijui zinaenda wapi, basi tu, ili mradi tupo ndio tupo, kwani nyumbani utakosa chakula
 
sipendi kukata tamaa.
Iko hivi, tungekuwa makini kiasi kikubwa tungweza kuwafunga hata goli tano hapa nyumbani katika mechi ya kwanza. Uwezekano ulikuwa mkubwa sana.
Tungeishangaza dunia na timu yao imgekuwa matatani.

Tatizo hatukubadilisha zile nafasi kuwa magoli. Wenzetu wametumia nafasi vizuri.

Algeria walikuwa kwao na ni timu bora wote tunafahamu hilo. Upinzani walionyesha kombe la dunia ni alama kubwa ambayo huwezi kupuuza. Tunaifahamu ujerumani vizuri na ndio iliyomfumga brazil goli saba pale pale kwao. Algeria kwa sasa ni timu kubwa. Tumekuwa tunaomba waivushe africa kwenda nusu fainali kwa muda sasa.

Tusiipuuze timu yetu, tulicheza vizuri sana nyumbani, kila mmoja anacheza vizuri kwao, ilikuwa tuweke historia kubwa sana siku ile.

Kwa sasa.
1. Mkwasa aikague timu yake, aangalie michezo yote aliyocheza, achambue kwa makini udhaifu tulionao tukiwa home na away, avifanyie kazi hivyo. Apewe mechi ngumu za majaribio sio vitimu vya watoto ni aibu
2. Timu za vijana ndio msingi, vinginevyo tutaendelea kudanganyana milele yote. Huwezi kila siku kukaa unaokota eti huyu azam, yule yanga, yule mbeya city, tutafungwa mpaka mwisho. Timu za vijana,zinazopasiana wachezaji. Grouped below seventeen work hard to give seventeenth, due seventeenth send 23, next to a national team. National team which has stayed firm for a while and not just collection of players for a match....... We should know our position, our soccer is still low compared to many others.
Ghana could be a very good lesson to us. We should learn the way they handle youth teams. The time our youth team with participate in youth competition successfuly is the time the national team will be approaching to its higher success.

Yaani huyo Mkwasa bado tu atataka kuendelea kuifundisha hiyo timu? basi kweli hiyo timu tuiite ''

Hapendeki umekuwa mtoto wakutanga tanga ovyo hapendiki ooohh hapendeki...
ulipopata kazi uliwasahahu wazazi wanapatwa uchungu kusikia unapatwa na matatizo
fanya urudi nyumbani hapendeki fanya urudi nyumbani eeeh hapendeki'' Mamaa
 
12274673_1651468168441567_6151838843411753551_n.jpg
 
Bora Nyoso angeitwa kwenye timu hii maybe tungepata cha kuwakumbushia waarabu... japo nasikia ndio michozo yao wakipewa ile finger wanaregea na kuanguka polepole wanaambizana wanabadilishana namba kumkaba nyoso hadi kipa naye
 
Naipenda Timu yangu lakini lazma tukubali waarabu wametuzidi kwa sana.

Tujipange tutafika tu
 
Yaani huyo Mkwasa bado tu atataka kuendelea kuifundisha hiyo timu? basi kweli hiyo timu tuiite ''

Hapendeki umekuwa mtoto wakutanga tanga ovyo hapendiki ooohh hapendeki...
ulipopata kazi uliwasahahu wazazi wanapatwa uchungu kusikia unapatwa na matatizo
fanya urudi nyumbani hapendeki fanya urudi nyumbani eeeh hapendeki'' Mamaa
Rafiki yangu tumetoka wapi, na nini kinawezekana kwetu. Tulikuwa na Maximo uliona, Paulsen Senior, Junior, Nooj wote umewaona. Ninafikiri kuna kitu zaidi ya kocha, makocha wataendelea kuwa wahanga tu.

Tumejipanga vipi kwenye soka ili tupate matokeo tunayoyataka. Nini kinachoonekana kimepamgwa ambacho kinatoa matumaini kwamba labda kesho.
Timu ndo iyoiyo, leo ikishinda tunashangilia ikipigwa tunalia. Tuma mipango ipi endelevu, hatuna, hatuma. Tutaendelea kuwatisha makocha na kukosa kujiamini muda wote wa mpira wetu, lakini tatizo liko sehemu fulani.

By the way naona tuliwakosa sana Algeria, ilikuwa tuwakung'ute vema hata kama tungepigwa kwao ingekuwa sio mbaya. Kwa kiasi kikubwa game ilikuwa yetu kabisa. Hivyo tunaweza, tumwache jamaa kwa uhuru aendelee kuchunguza kikosi chake WAKATI tunajipanga kwa mikakati ya muda mrefu.
 
Tumevuna tulichokipanda Tujipange toleo lijalo (sisi mawazo yetu yalikuwa kuifunga Algeria wao Mawazo yao ni Kufuzu Kombe la Dunia)
 
Siku zote huwa sidhani Barthezz au Dida Ni makipa number one tz. Uyanga utumika .. Kuna kipa mzuri Sana KMKM Na Mafunzo pia
 
Bora Nyoso angeitwa kwenye timu hii maybe tungepata cha kuwakumbushia waarabu... japo nasikia ndio michozo yao wakipewa ile finger wanaregea na kuanguka polepole wanaambizana wanabadilishana namba kumkaba nyoso hadi kipa naye[/Qi

huUOTE]

Huna cha kuchangia piga kimya kuliko kumwaga Utumbo wako hapa! Badala ya kuongelea matatizo yaliyopelekea team kupigwa 7-0 unataka kutuletea vitu vya kijinga,

Inaonekana ndio michezo yako hiyo ya finger ndio maana unajua mpaka matokeo yake baada ya kupigwa finger,

Bora hata mlivyopigwa hizo 7-0
 
Back
Top Bottom