Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unadhani hata ngumi tutawaweza???watatupiga kama watoto wao:d:d
Hapo kwenye red nadhani iwe Chui Mwenye Njaa kali.... ili kutishia wapinzani maana Chui aliyeshiba hujificha juu ya mti na kulalaTushachoshwa na majina ya kinyonge. sasa hivi na sisi tujiite simba au chui asiyeshiba
Unadhani hata ngumi tutawaweza???watatupiga kama watoto wao😀😀
sipendi kukata tamaa.
Iko hivi, tungekuwa makini kiasi kikubwa tungweza kuwafunga hata goli tano hapa nyumbani katika mechi ya kwanza. Uwezekano ulikuwa mkubwa sana.
Tungeishangaza dunia na timu yao imgekuwa matatani.
Tatizo hatukubadilisha zile nafasi kuwa magoli. Wenzetu wametumia nafasi vizuri.
Algeria walikuwa kwao na ni timu bora wote tunafahamu hilo. Upinzani walionyesha kombe la dunia ni alama kubwa ambayo huwezi kupuuza. Tunaifahamu ujerumani vizuri na ndio iliyomfumga brazil goli saba pale pale kwao. Algeria kwa sasa ni timu kubwa. Tumekuwa tunaomba waivushe africa kwenda nusu fainali kwa muda sasa.
Tusiipuuze timu yetu, tulicheza vizuri sana nyumbani, kila mmoja anacheza vizuri kwao, ilikuwa tuweke historia kubwa sana siku ile.
Kwa sasa.
1. Mkwasa aikague timu yake, aangalie michezo yote aliyocheza, achambue kwa makini udhaifu tulionao tukiwa home na away, avifanyie kazi hivyo. Apewe mechi ngumu za majaribio sio vitimu vya watoto ni aibu
2. Timu za vijana ndio msingi, vinginevyo tutaendelea kudanganyana milele yote. Huwezi kila siku kukaa unaokota eti huyu azam, yule yanga, yule mbeya city, tutafungwa mpaka mwisho. Timu za vijana,zinazopasiana wachezaji. Grouped below seventeen work hard to give seventeenth, due seventeenth send 23, next to a national team. National team which has stayed firm for a while and not just collection of players for a match....... We should know our position, our soccer is still low compared to many others.
Ghana could be a very good lesson to us. We should learn the way they handle youth teams. The time our youth team with participate in youth competition successfuly is the time the national team will be approaching to its higher success.
Rafiki yangu tumetoka wapi, na nini kinawezekana kwetu. Tulikuwa na Maximo uliona, Paulsen Senior, Junior, Nooj wote umewaona. Ninafikiri kuna kitu zaidi ya kocha, makocha wataendelea kuwa wahanga tu.Yaani huyo Mkwasa bado tu atataka kuendelea kuifundisha hiyo timu? basi kweli hiyo timu tuiite ''
Hapendeki umekuwa mtoto wakutanga tanga ovyo hapendiki ooohh hapendeki...
ulipopata kazi uliwasahahu wazazi wanapatwa uchungu kusikia unapatwa na matatizo
fanya urudi nyumbani hapendeki fanya urudi nyumbani eeeh hapendeki'' Mamaa
Bora Nyoso angeitwa kwenye timu hii maybe tungepata cha kuwakumbushia waarabu... japo nasikia ndio michozo yao wakipewa ile finger wanaregea na kuanguka polepole wanaambizana wanabadilishana namba kumkaba nyoso hadi kipa naye[/Qi
huUOTE]
Huna cha kuchangia piga kimya kuliko kumwaga Utumbo wako hapa! Badala ya kuongelea matatizo yaliyopelekea team kupigwa 7-0 unataka kutuletea vitu vya kijinga,
Inaonekana ndio michezo yako hiyo ya finger ndio maana unajua mpaka matokeo yake baada ya kupigwa finger,
Bora hata mlivyopigwa hizo 7-0
Yaan kweli watu milion 45 na usheh hakuna watu kumi na moja tu wenye kipaji cha football?