KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Wachezaji wamepanick
Wakitulia hawa wetu mbona
Sijui kuna wenge gani jamani
Naomba half time ifike wakapewe mawaidha
 
Honestly, nitafurahi sana, tena sanaa kama Taifa stars ikifungwa na kutolewa.
Sina Uzalendo kabisa kwa nchi yangu. Ninaichukia sana Tanzania. Sioni faida ya kuwa mtanzania.

Hawa ni CUF,wala asikupe tabu,we nenda jukwaa la Siasa utamkuta.
Mpira sio fani yako kabisaa
 
nipige tafu haipo? kwamba tz wakope hata goli 4 afu watalipa wakipata kocha au wachezaj wazuri
 
Honestly, nitafurahi sana, tena sanaa kama Taifa stars ikifungwa na kutolewa.
Sina Uzalendo kabisa kwa nchi yangu. Ninaichukia sana Tanzania. Sioni faida ya kuwa mtanzania.

Wazazi wako walilaaniwa ndo maana, bado wapo wazima?
Inatakiwa upate ushauri nasaha'
 
Mimi nasubiri Tanzania tufungwe goli la Tatu nianze kushangilia. Sina namna zaidi ya kufurahia.
 
Algeria walipokuja tanzania walikuja na ndege ya nchi yao, tz tumewapeleka na fastjet,
 
Back
Top Bottom