KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Algeria wanapata penati dakika ya 47.
Yaani hata sijui fitina hizi tutaweza lini
 
ImageUploadedByJamiiForums1447788548.004018.jpg Algeria 4 tz 0
 
Duh!
Hivi tusingerudi kipindi cha pili kingetokea nini? Naona giza, na kipigo kizito sana kinakuja, na pia kuna kadi nyekundu nyingine maana nusu ya wachezaji wetu wana kadi ya njano, buti moja tu kadi nyingine!
 
Mpira fitina Malinzi jifunze hapo huyo refa anachezesha chini ya kiwango chake penati za kitoto izo faulo zoote Tanzania..wametutoa lakin wa kawaida sana hawa
 
Ally Mustafa mbona hajarudi? Kaumia au ni tactical move?? Kama hajaumia hapa ndo madhaifu ya Mkwasa yanapoonekana. Tuko pingufu alafu anatoka kipa? Natumai barthez kaumia tu ndo maana katoka.
 
Back
Top Bottom