KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2018, Novemba 17 2015: Algeria vs Tanzania

Hio sub wallah leo mnakaa wabongo ndo mtujue waarab tupo serious we mean business
 
Hapa hakuna kuonewa uwezo wa wachezaji wetu mdogo na Nidhamu mbovu ndio vimechangia matokea hayo,zile kadi za njano ni halali kabisa,wachezaji hawajitambui
 
We vyombo vya Habari vyote vya Kibongo vinaona kama Samata anachezea Man U.

Wakati Algeria wapo kibao wanakipiga Ulaya.

Aibu kubwa ni kwa Samata:
Yaani kwa idadi ya magoli na mfungaji bora ndani,na wakutengeneza mipira kumpa angalau afute nuksi bado hakuna dalili zozote,aiseeee
 
Mimi nasema hivi kuna wengi hawapendi maendeleo yetu kwa nini kila mechi hasa hizi tunazocheza na waarabu lazima ianzie TZ na kumalizia ugenini? Kulikoni. Sijaiangalia hii mechi ziwezi kusema mengi

Sidhani kwa sisi hata kama tungeanza kwao ingekuwa na madhara.
Ila kukujibu, wanapanga nani aanze nyumbani kwa kuangalia fifa ranking. Aliye juu anaanza away ma kumalizia hom.
 
Mm nazidi kushauri tuachane na mashindano ya kimataifa kwa miaka 10 kwanza
 
Nape asikitishwa na goli la 1 asema hilo goli sio la mkono ni la kidoge maana dakika ya 1.
 
Magufuli kazi anayo. ukiwa unaomba kura unaweza usione uzito wa kiatu ila ukikivaa utatamani hata usingeomba
 
Back
Top Bottom