Kashindwa kuibariki Toka huko zamani Leo unategemea muujiza!! Hivi vitu ni logic na si Imani Tanzania inatatizo la beki hata ikishinda lzm itafungwa hata kamoja Hivyo namna hiyo usitegemee itafika mbali..Mungu Ibariki Taifa Stars[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Kaka ulichoandika ndicho kinachotokea
Asante mwalimu kashasa
Stars wanaupiga mwingi. Ila goli ndio shida. Dk 53 Stars 1-Burundi 1
Idi Nado namuelewa sana. Ana kiwango cha kuchezea club kubwa kama Simba Sc
Sijajua malengo ya Mrundi ni yapiOKW BOBAN SUNZU mmemtoa HD mmezidiwa kabisaa
Sijajua malengo ya Mrundi ni yapi
Staz anapigwa