Kufuzu Kombe La Dunia: Tanzania yaitoa Burundi kwa matuta

Kufuzu Kombe La Dunia: Tanzania yaitoa Burundi kwa matuta

Mungu Ibariki Taifa Stars[emoji1241][emoji1241][emoji1241]
Kashindwa kuibariki Toka huko zamani Leo unategemea muujiza!! Hivi vitu ni logic na si Imani Tanzania inatatizo la beki hata ikishinda lzm itafungwa hata kamoja Hivyo namna hiyo usitegemee itafika mbali..
 
Kaka ulichoandika ndicho kinachotokea

Tulioucheza Mpira, tunaoufuatilia na tunaojua Kuuchambua vile vile huwa tunakuwa na Macho ya Tai kabisa katika Kuuelezea na Kutahadharisha pia. Hata hivyo tusikate tamaa bado naona kuna Ushindi kama tu Wachezaji wetu wataongeza Umakini wao huku tukiacha zile ' School Boys Mistakes ' ambazo naanza Kuona ndizo zinatugharimu.
 
Back
Top Bottom