KUFUZU TANZANIA | CAF IMEPOTEA

KUFUZU TANZANIA | CAF IMEPOTEA

Tripp

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2018
Posts
898
Reaction score
1,545
Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzi tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ifike pahala tupongeze mafanikio tunayoyapata au unafikiri ni kazi nyepesi kufuzu kwenye hii michuano kwa kuwa tu kuna ongezeko la timu 26,unajua kuna mataifa mangapi makubwa hayajafuzu? tujivunie kama taifa, tujipongeze kama taifa kwa kazi nzuri tuliyoifanya.
Mapambano ndiyo kwanza yanaanza
 
Mimi nikiona post kama hzi za kukashfu Timu yetu ya taifa nakereka jamanii hivi watu wakoje?? nfo hawa kila kitu kwao kibaya nadhani hata maendeleo hawana kwa kweli maana si kwa chuki hizi. Hata mchawi nadhani kuna siku huwa anafurahia jambo ila wa hivi nadhani atakuwa na level zingine zimevuka uchawi wa kawaida
 
Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unashaurije?
 
Tuna tofauti kubwa sana na wakenya. Sijui aliyewaroga hawa watu ni nani.
 
Mbona timu nikizihesabu siyo 26.
Mkuu tukikosa fursa tunaonewa,tukipata tunalaumu,watanzania tutaridhika kwa lipi ili tusiwe na roho ya kulalamika,uchawi na unafki.

Hata FIFA idadi ya timu za Africa ziliongezwa,ligi kuu yetu timu pia ziliongezwa.

Hata kama timu nyingi hao waliopita wanatumia fursa za kujitangaza na kuweka historia,hupendi Tanzania tuwe sehemu ya historia au uchawi umekujaa.Ulitaka wachezaji wetu waonekane kivipi na Tanzania tusikike kimichezo?
Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
#kama ya roho mbaya mmekaa kikao na hilo ndo mmeamua kulipitisha

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom