gongolamboto
JF-Expert Member
- Feb 21, 2011
- 1,185
- 570
Acha uongo wewe. Ni timu 24 siyo 26Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app