KUFUZU TANZANIA | CAF IMEPOTEA

KUFUZU TANZANIA | CAF IMEPOTEA

Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo wewe. Ni timu 24 siyo 26
 
Zimefuzu timu 24, je hizo 30 zilizobaki je? Wakati mwingine tutoe pongezi tumejitahidi hata kufika hapo, kinachotakiwa tu ni kuongeza nguvu kwa serikali na wadau wengine kuwekeza kwenye mpira. Tena mimi ningependa ile bilioni ya maandalizi ya Afcon ingepelekwa kujenga academy ya kisasa.
 
kwa hiyo wewe uliona bora zipunguzwe zibaki hata mbili, ndio uone viwango vimepanda. pia ili ujue kiwango kimepanda unatakaje?!?
 
Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mavi yako
 
Timu zipo 24
 
Utakua sio Mtanzani wewe,fala kabisa,kafie mbele tuachie nchi yetu.

Mbinguni hakuna bia.
 
Timu Ni 24 fanya homework
Uefa wameongeza timu pia
Fanya homework pia
FIFA wameongeza timu World Cup
Fanya homework pia

Uwe unafanya Homework usisumbue watu humu wanamajukumu ya kitaifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
" 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa "
Anae andaa nchini kwake je?

Sent using Brain
 
Nafikiri ametumia matako kufikiri
Ona aibu wewe. Kama hujui chochote usi comment. Wanaojua wanakushangaa hapa, na wanajua wewe ndiyo umetumia matako kufikiri na mavi kuandika. Mama yako atakuwa anasikitika kuzaa mtoto zuzu kama wewe
 
Hahaha!!!
 
Back
Top Bottom