Uzi tayariKama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unashaurije?Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuna tofauti kubwa sana na wakenya. Sijui aliyewaroga hawa watu ni nani.Mimi nikiona post kama hzi za kukashfu Timu yetu ya taifa nakereka jamanii hivi watu wakoje?? nfo hawa kila kitu kwao kibaya nadhani hata maendeleo hawana kwa kweli maana si kwa chuki hizi. Hata mchawi nadhani kuna siku huwa anafurahia jambo ila wa hivi nadhani atakuwa na level zingine zimevuka uchawi wa kawaida
Wee uzi wako upo wapi??
Kama nilivyoanza hapo juu kufuzu kwa Tanzania hakuendani na ubora bali ni Madudu ya CAF kwa miaka mingi CAF imekuwa ikiandaa michuano ya mataifa AFRIKA na kushirikisha timu 16 ambazo kumi na tano hufuzu kwa makundi na mmoja uwa bingwa ila msimu huu wameingiza timu 26 ni ujinga wa hali ya juu matimu mengi viwango duni...
Hivyo tanzania hakuna cha kujivunia timu 26 msungefuzu vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app