Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alaaa, kwahiyo hata tukiwa wa pili tunaeza kwenda kutolewa na inchi ya bara lingine hukoGroups ziko 9,
Kila group litatoa timu MOJA tu ambae kwetu tuseme atatoka Morocco.
Kisha timu nne ambazo ni washindi wa pili waliofanya vizuri zaidi kuliko washindi wa pili wengine watakua na Playoff zao watoane hadi aje apatikane mmoja tu.
Huyo ataenda kucheza playoff na bara jingine kisha akifuzu ndio anaungana na wale 9 pale juu wanakua 10. Akifeli tunaishia palepale kwenye 9 tu.
Ndio boss.Alaaa, kwahiyo hata tukiwa wa pili tunaeza kwenda kutolewa na inchi ya bara lingine huko
Hahahahaha 😂Hata zikiwa nne hamuendi popote