Kufuzu World Cup 2026; Tanzania yatupwa Kundi E ikiwa na Morocco na Niger

Alaaa, kwahiyo hata tukiwa wa pili tunaeza kwenda kutolewa na inchi ya bara lingine huko
 
Alaaa, kwahiyo hata tukiwa wa pili tunaeza kwenda kutolewa na inchi ya bara lingine huko
Ndio boss.
Kwanza wa pili yenyewe tuwe katika wanne wale wa pili waliofanya vizur zaidi. Tuanze kutoana wenyewe kwa wenyewe mpaka abakie the best wa pili kwa Africa ndo ukacheze na wa wapi sijui huko.

Yaan hapa kutoboa ni difficult nearly to impossible
 
Hivi ilishawatokea bingwa wa Afcon akashindwa kushiriki kombe la dunia. Kwa maana ya bingwa wa wakati huo ambao mashindano ya kombe la dunia yakifanyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…