Kugawa gawa Mikoa Tanzania

Nimeona Liaodong peninsula hapo wachina wametunyan'ganya ilibidi iwe Korea .
 
Haileti maana mtu anatoka Mlimba TX kwenda Morogoro (420km), kisa anaenda mkoani.

Haikuwa inaleta maana mtu anatoka Ludewa kwenda Iringa mjini (370km) kisa tu anafuata huduma mkoani.

Hizi ndio sababu Mikoa inamegwa.

Nchi kama marekani ina majimbo 50, ila jimbo kama Massachusets lina counties 14, hapo kila county ina Governor ambaye hapa kwetu ni kama mkuu wa mkoa, pia ina county executive, ambaye hapa kwetu ni kama RAS. So hilo jimbo moja la Massachusets lina wakuu wa mikoa 14 na ma-RAS 14.

Bado hapo hujaweka viongozi wengine wa kisiasa, list ni ndefu.

Yani ukiona unaanzishwa mkoa mpya hapa kwetu jua nia sio watu kupeana ukuu wa mkoa, nia ni kuongeza uwezo wa serikali kukusanya mapato na kupeleka huduma kwa jamii.
 
Wel said [emoji419][emoji120][emoji817]
 
Devide and rule tena kwakuwea chawa
 
Katavi eti nayo ni mkoa! Kuna mkuu wa mkoa n.k! Mkoa una wstu laki 4 na mapato TRA 2022 bilioni 10 tu wakati mkoa Arusha walikusanya bilioni 450! Kulikuwa na haja gani kuanzisha Mkoa Katavi? Mikoa 60% zitumike kodi inapokusamywa na 40% zipelekwe serikali kuu! Huu utaratibu wa kutokuwepo mashindano ktk ukudanyaji kodi ktk mikoa ndo inadumaza nchi hii! Angalia California ni 8th largest economy in the world ila 40% ya kodi kubaki ktk state ndo maana Silcon Valley na maendeleo kibao! Sii kama hapa kwetu mkoa hauchamgii chochote unabebwa kisiasa tu kwa jasho la mikoa mingine
 
Tunatakiwa kuwekeza zaidi kwenye technology mfano serikali mtandao Kwa Sasa sio lazima vitu vingne mtu asafiri 420 Km kwa ajili ya huduma ambazo zinawezwa kumalizwa na mtandao wa internet.
Huduma za Internet na Barabara zikiwa Sawa hakuna haya kuongeza mikoa
 
We unataka makada na machawa wakale wapi
 
That's why Ctak kila mkoa ireport kwa central gvt Bali iwe na ajenda zao wenyewe za uchumi na zitumike kwa maendeleo yao tu na kila local gvt iendelee na kazi yake co kugawa gawa tu
 
That's why nasema km wao jimbo moja can be so big then cc hatuna reason ya kugawa gawa hii mikoa we can strengthen local governments tu

Hata sisi kanda (ambazo kwao ndio hayo majimbo) hazibadiliki mara kwa mara.
 
Issue sio maofisi tu, kuna huduma kama za kimahakama, huduma za afya, etc....bado inakuwa changamoto.

Pia ukusanyaji wa mapato na uanzishwaji wa vyanzo vipya vya mapato.
 
That's why Ctak kila mkoa ireport kwa central gvt Bali iwe na ajenda zao wenyewe za uchumi na zitumike kwa maendeleo yao tu na kila local gvt iendelee na kazi yake co kugawa gawa tu
Hapo ndio swala la serikali za majimbo linakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…