Kugawa vishikwambi kisiwe kigezo cha kunyima waalimu ajira

Kugawa vishikwambi kisiwe kigezo cha kunyima waalimu ajira

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Toka Sensa ipite serikali ikagawa VISHIKWAMBI imekuwa na kigugumizi sana Cha kuajiri waalimu wapya

Toeni ajira vijana wanataka kulifanyia kazi taifa sio kupewa VISHIKWAMBI

TAMISEMI na serikali toei ajira kweli!
 
Toka Sensa ipite serikali ikagawa VISHIKWAMBI imekuwa na kigugumizi sana Cha kuajiri waalimu wapya

Toeni ajira vijana wanataka kulifanyia kazi taifa sio kupewa VISHIKWAMBI

TAMISEMI na serikali toei ajira kweli!
Vishikwambi na ajira wapi na wapi
 
Walimu mnataka ajira ila mnaogopa usaili....
 
Du , kumbe kuna uhusiano kishikwambi na. Ajira
 
Pole sana mkuu na umri unakimbia vibaya sana na usilolijua walio kwenye ajira ndio wanaminya vijana wasipate ajira
Walioko kwenye ajira wanaminyaje kwa mfano?
Inajulikana kabisa kua waalimu wanastaafu,wanakufa,wanafunzi wanaohitaji kufundishwa ni wengi kwasabababu birthrate ni kubwa,halafu serikali haiajiri,na mikopo inachukuliwa kutoka nchi wafadhili,pesa sijui zinaenda wapi.Hii nchi inakosa vipaumbele tu,timu za mipira zunapewa mamilioni ya pesa,ila za kuajiri waalimu hakuna,pesa za chaguzi za kimagumashi zipo,za kuajiri waalimu hakuna.Ujinga mwingi nchi hii,matokeo yake waliomaliza 2015 au 2016 washakua wababa,kusema tunaajiri vijana,ingebadilika kua tunaajiri vijana na wababa au wamama.Elimu imetypotezea dira kabisa hii.
 
Vishikwambi na Ajira haya mambo yanahusiana vipi mkuu?

Ni kweli una shida ya Ajira jaribu kuandika mambo yanayofikirisha UBONGO na AKILI.
 
Back
Top Bottom