Kugoma kwenda jkt....?

Kugoma kwenda jkt....?

As Salafiyyu91

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2014
Posts
2,537
Reaction score
2,538
Habari zenu wa kuu kuna jambo moja naomba msaada wenu ati nimesikia bungeni limezungumziwa suala la vijana waitimu wa kidato cha sita mwaka 2013 & 2014 ambao hawatokwenda kupata mafunzo ya JKT watashitakiwa kwa mujibu wa sheria Tafadhalin anayejua jambo hili kwa undani anijuze..?
 
Kuanzia mwaka 2017 serikali haitoajili mtu yeyote ambaye hajapita JKT
 
titax@ mkuu mbona sion habar zozote kuusu JKT zaid zaid habar za udaku imakaaje hii
 
Habari zenu wa kuu kuna jambo moja naomba msaada wenu ati nimesikia bungeni limezungumziwa suala la vijana waitimu wa kidato cha sita mwaka 2013 & 2014 ambao hawatokwenda kupata mafunzo ya JKT watashitakiwa kwa mujibu wa sheria Tafadhalin anayejua jambo hili kwa undani anijuze..?

Nenda kwa mujibu wa sheria. Unatakiwa kutii sheria bila shuruti. Sasa wewe usiende uone
 
Habari zenu wa kuu kuna jambo moja naomba msaada wenu ati nimesikia bungeni limezungumziwa suala la vijana waitimu wa kidato cha sita mwaka 2013 & 2014 ambao hawatokwenda kupata mafunzo ya JKT watashitakiwa kwa mujibu wa sheria Tafadhalin anayejua jambo hili kwa undani anijuze..?

Mimi mwanangu haendi mana hawa Serikali hawakujipanda na mfumo huu,Pia naomba kuulza hivi wale watoto wa Kiarabu,Watoto wa viongozi na shule zote za Internationally wanaenda?
 
m2@flan@ kuna jamaa yangu alikuwa ktk kambi moja na watoto wa wakubwa walikaa pamoja cku za mwanzo baada ya kujisajiri tu kwa ajili ya vyeti basi wakaja kuchukuliwa eti wamepata scholarship na wengine wakaondoka kwa ajili ya wao ni wagonjwa hivi ndivyo watoto wa wakubwa wavyopita JKT
 
Umeona eeh! Kule ni kwa sie watuflani
 
Sema watafanywa nini sio "Goma uone"

unataka ujue ili iweje? Serikali imekuambia NI LAZIMA uende jeshi, wewe hutaki.. unawaona hawaendi au wanaripoti na kusepa basi ujue vimemo vimefanya kazi au wengine wana matatizo ya kiafya, ila kwa wale wenzangu na mimi usiende halafu uone yatakayokukuta, ilo suala la kukosa ajira serikalini ni dogo sana na utaliona linaafadhali
 
Vitisho vimekua vingi sana, nini kitawapata ambao hawataenda mpaka kukosa ajira serikalini kionekane kidogo?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Jaman wanasheria wanaxemaje kuusu hili:smile-big::smile-big:
 
Vitisho vimekua vingi sana, nini kitawapata ambao hawataenda mpaka kukosa ajira serikalini kionekane kidogo?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Huyu jamaa mpambe kwel ye anasema watapatwa na shida kweli alaf shida yenyewe hasemi ni hipi vitisho tuuuuuuu
 
hiyo jkt wataenda wenyewe tusipotezeane muda mana najua hii baada ya miaka kadhaa itafutwa au itabdilshwa ndo tanzania yetu hii,sasa tuone kama wasioenda watapelekwa jela
 
Ndugu zangu ukienda kule unakuwa kwenye safe side!What kama serikali ikisema kuanzia 2017 ajira SERIKALINI ni lazima uwe umepitia National Service?Kama una uhakika hutoitaka kazi ya serikalini unaweza kuacha lakini kwa sie watoto wa wakulima tumepiga depo fresh tu hata hatujafa!!Sishauri kugoma!!
 
Back
Top Bottom