As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,538
Habari zenu wa kuu kuna jambo moja naomba msaada wenu ati nimesikia bungeni limezungumziwa suala la vijana waitimu wa kidato cha sita mwaka 2013 & 2014 ambao hawatokwenda kupata mafunzo ya JKT watashitakiwa kwa mujibu wa sheria Tafadhalin anayejua jambo hili kwa undani anijuze..?
goma uone...

m2@flan@ kuna jamaa yangu alikuwa ktk kambi moja na watoto wa wakubwa walikaa pamoja cku za mwanzo baada ya kujisajiri tu kwa ajili ya vyeti basi wakaja kuchukuliwa eti wamepata scholarship na wengine wakaondoka kwa ajili ya wao ni wagonjwa hivi ndivyo watoto wa wakubwa wavyopita JKT
mimi nishasema siendi kwa sababu sitaki kuajiliwa na serikaliii
tuwe wengi
Sema watafanywa nini sio "Goma uone"
unataka ujue ili iweje? Serikali imekuambia NI LAZIMA uende jeshi, wewe hutaki.. unawaona hawaendi au wanaripoti na kusepa basi ujue vimemo vimefanya kazi au wengine wana matatizo ya kiafya, ila kwa wale wenzangu na mimi usiende halafu uone yatakayokukuta, ilo suala la kukosa ajira serikalini ni dogo sana na utaliona linaafadhali
Vitisho vimekua vingi sana, nini kitawapata ambao hawataenda mpaka kukosa ajira serikalini kionekane kidogo?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums