Kugombana na wife akaamua kufunga vitu vyake na kuondoka je, ni lazima kuondoka na house girl?

Kugombana na wife akaamua kufunga vitu vyake na kuondoka je, ni lazima kuondoka na house girl?

Habari wakuu mimi mgeni kidogo hapa kuhusiana na hili suala je ni lazima wife kuondoka na house girl pale inapotokea mmegombana?
Mwanamke anayejitambua hawezi kwenda, then akuachie house girl.

Ni sawa na kusema "Yamenishinda, sasa namuachia msaidizi wangu ". Atakuwa amemuacha kama bimdogo.

Huyo mkeo atarudi tu ila muombane msamaha tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom