Kugombana na wife akaamua kufunga vitu vyake na kuondoka je, ni lazima kuondoka na house girl?

Kugombana na wife akaamua kufunga vitu vyake na kuondoka je, ni lazima kuondoka na house girl?

Duuh!!Yaani hili ni swali la kukaa na kujiuliza kweli. 🤔🤔🤔
 
House girl ni msaidizi wa kazi za nyumbani, kama mama ameondoka basi alipaswa amuache hapo kwenye kituo chake cha kazi. Lakini kwakuwa ameamua kuondoka naye basi huna budi kusitisha mkataba wake halafu weka mwingine ili kazi iendelee kufanyika. By the way najua ukifanya hivyo wife atarudi kwa kasi tena bila shuruti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapana..alitakiwa amwache ....nipe namba zake nimwambie amrudishe kwa kweli
 
House girl amekuja baada ya ninyi kuanza kuishi pamoja kwa ajili ya usaidizi kwa mwanamke sa unauliza manini ayo
 
Unataka kuniambia jukumu la nyumba kuwa safi linaweza likakuhusu? Utaskia wanasema jamaa kajenga bonge la nyumba ila yule mwanamke ni mchafuu
Ewaaaz sasa ili usisemwe muache pale ule unamcontrol remotely kwa simu. Unampangia kazi asubuhi jioni unafuatilia. Unamuuliza baba amekula? Umahakikisha umemuandalia vizuri? Kitanda cha baba kisafi/ kimetandikwa? Haya usiku mwema....Hivyo yani
 
Back
Top Bottom