Mods nyuzi za namna hii kwanini mwaziruhusu? Hazina michango wwte kwa ustawi wa jamii yetuAchana na wale wanaogombania bwana kwa ajili ta kulipiwa kodi na mitaji.
Mimi wananigombania kutokana na muonekano wangu, hii ilianzia shule ya msingi, ni jambo la kawaida hadi nimezoea.
Kuna wakati unakuta wanawake wanagombana af mimi sina habari hata na mmoja wao. Mi ni ile type ya wanaume wanaosema ni wa kwenda nao supermarket.
Unajua ukishakua potential, km kua super handsome, yafaa uwe makini sana na kuchagua mtu wa kua nae, mana wengi wanataka kuosha mbele za watu tu.
Kitu ambacho unaweza usiamini, humu kuna wanaume hawajawahi hata kutongozwa mana hawana potential yoyote.
Wale unawaonea, hadi uwafate maeneo yaoMm nagombaniwa na wale wanaouza tu 🤣🤣
Utasikia kaka karibu
DahVipi wanaume hawakugombanii mrembo?
Hongera sana mkuu kwa kugombaniwa na wanawake kwa sababu ya muonekano mzuri ..Achana na wale wanaogombania bwana kwa ajili ta kulipiwa kodi na mitaji.
Mimi wananigombania kutokana na muonekano wangu, hii ilianzia shule ya msingi, ni jambo la kawaida hadi nimezoea.
Kuna wakati unakuta wanawake wanagombana af mimi sina habari hata na mmoja wao. Mi ni ile type ya wanaume wanaosema ni wa kwenda nao supermarket.
Unajua ukishakua potential, km kua super handsome, yafaa uwe makini sana na kuchagua mtu wa kua nae, mana wengi wanataka kuosha mbele za watu tu.
Kitu ambacho unaweza usiamini, humu kuna wanaume hawajawahi hata kutongozwa mana hawana potential yoyote.
kwahio wewe ni kuwapuna tu 😂Wale unawaonea, hadi uwafate maeneo yao
Kina nani mkuu?kwahio wewe ni kuwapuna tu 😂
Hongera kwahiyo hapo ndiyo unaona ufahari mwenyeweAchana na wale wanaogombania bwana kwa ajili ta kulipiwa kodi na mitaji.
Mimi wananigombania kutokana na muonekano wangu, hii ilianzia shule ya msingi, ni jambo la kawaida hadi nimezoea.
Kuna wakati unakuta wanawake wanagombana af mimi sina habari hata na mmoja wao. Mi ni ile type ya wanaume wanaosema ni wa kwenda nao supermarket.
Unajua ukishakua potential, km kua super handsome, yafaa uwe makini sana na kuchagua mtu wa kua nae, mana wengi wanataka kuosha mbele za watu tu.
Kitu ambacho unaweza usiamini, humu kuna wanaume hawajawahi hata kutongozwa mana hawana potential yoyote.
Mimi nagombaniwa sababu najua kupiga show kibabe hata wao huwa wananieleza kwamba hawajanipendea kingine tofauti na show showAchana na wale wanaogombania bwana kwa ajili ta kulipiwa kodi na mitaji.