Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Je, Sheria zinasemaje mimi kama Mtanzania kugombea Uraisi kama Demu wangu ni Mkenya na nikachukuwa Uraia? Naruhusiwa?
Faida ni nyingi kwa nchi ya Kenya kwani nitabalance kila kitu mambo ya ethinicity na kwamba watu watanipigia tu kura kwa Sera zangu na siyo kundi langu, hivyo naomba anayefahamu hilo, natanguliza shukrani zangu, ...