Engineer levi Devin
JF-Expert Member
- May 17, 2016
- 2,501
- 1,047
Mbunge je? Mwenye dual citizenship anaruhusiwa? Waziri? Judge?
Iebc officers wanaruhusiwa that I know
Hauruhusiwi. tunapozungumzia dual citizenship tunazungumzia yule mtu ambaye uraia wake wa kwanza ni mkenya halafu akaomba uraia wa nchi nyengine wala sio yule mtu anayekuja kuomba uraia wa Kenya. kama wewe umezaliwa kwengine ukakuja kuomba uraia wa Kenya ,you are not eligible to hold public office.