Baki huko huko na uccm wenu, usije kuturudisha nyuma tulikotoka miaka 20 iliyopita.
Halafu ili uwe mgombea urais Kenya lazima kwanza uwe mzawa wa nchi na raia tangu kuzaliwa Kenya.
Asante kwa jibu hivyo haiwezekani kwa sababu sijazaliwa huko, ndicho nilichotaka kufahamu!
Si usimame huko kwenu umwangushe huyo uchwara wenu acha kujipendekeza kwa kenya
Acha hizo wewe, nilipenda tu kujua kama Kisheria inawezekana kwani uwezo wa kukubalika na kushinda Uchaguzi Kenya ninao, isitoshe Kenya mimi na mimi ni marafiki!
Uwezo gani ambao unao? kama umeshindwa kusimama kwenu Kenya ndio utaweza? Kabda uwende kwa waganga wa sumbawanga hata hi yo huwezi ,kwanza kiti kipi unataka kuwania? labda uje nikuoe.
Mimi siyo Mwanamke hivyo naoa na nina Demu tayari!
Nilitaka kuja kugombea Uraisi halafu nimtumie Jeshi Maraga wakamuondoe Supreme Court maisha yaendelee!
Albadir huwa inaanza hivi kuonesha matokeoJe, Sheria zinasemaje mimi kama Mtanzania kugombea Uraisi kama Demu wangu ni Mkenya na nikachukuwa Uraia? Naruhusiwa?
Faida ni nyingi kwa nchi ya Kenya kwani nitabalance kila kitu mambo ya ethinicity na kwamba watu watanipigia tu kura kwa Sera zangu na siyo kundi langu, hivyo naomba anayefahamu hilo, natanguliza shukrani zangu, ...
Albadir huwa inaanza hivi kuonesha matokeo
Mbunge je? Mwenye dual citizenship anaruhusiwa? Waziri? Judge?For you to vie for a political seat,you must be a Kenyan by birth
be a registered voter,
be 21 years and above
must have been in the country for the last 7 years
must not be a holder of dual citizenship.
Yaonekana chama chako ni "Demu party" na sera zako ati ethinicity (wrong spelling my fren) ila hauna ujuzi kiuchumi ,kingereza chako hafifu ,huwezi kimbia kama mKalenjin na wewe huli miraa.Je, Sheria zinasemaje mimi kama Mtanzania kugombea Uraisi kama Demu wangu ni Mkenya na nikachukuwa Uraia? Naruhusiwa?
Faida ni nyingi kwa nchi ya Kenya kwani nitabalance kila kitu mambo ya ethinicity na kwamba watu watanipigia tu kura kwa Sera zangu na siyo kundi langu, hivyo naomba anayefahamu hilo, natanguliza shukrani zangu, ...