Kugombea Uraisi Kenya!

Mbunge je? Mwenye dual citizenship anaruhusiwa? Waziri? Judge?
Iebc officers wanaruhusiwa that I know

Hauruhusiwi. tunapozungumzia dual citizenship tunazungumzia yule mtu ambaye uraia wake wa kwanza ni mkenya halafu akaomba uraia wa nchi nyengine wala sio yule mtu anayekuja kuomba uraia wa Kenya. kama wewe umezaliwa kwengine ukakuja kuomba uraia wa Kenya ,you are not eligible to hold public office.
 
I know about dual citizenship, kuna mwanamama alikuwa na dual citizenship, raia wa USA na Kenya, alikuwa iebc
 
I know about dual citizenship, kuna mwanamama alikuwa na dual citizenship, raia wa USA na Kenya, alikuwa iebc

Una matatizo ya kuelewa au vipi? nimetumia kiswahili chepesi mno kufafanua, huyo mama kwanza ni mjaluo .yeye ni mkenya amezaliwa Kenya akalelewa Kenya afu akaomba uraia marekani ,uraia wake wa kwanza ndio wakikenya ule wa pili ndio wamarekani ,ingekua amezaliwa marekani akaja kuomba uraia Kenya basi yeye hangekubaliwa kufanya kazi kwa IEBC.
 
Wewe ndio hujui elekeza, kwa iyo aliezaliwa Marekani akaomba uraia Kenya ana what kind of citizenship. Isn't that dual citizenship, and u said dual citizens hawaruhusiwi kuhodhi nyadhifa iebc. Ungekuwa unaweza kuelezea vizuri, ungesema wenye dual citizenship specifically walio zaliwa Kenya ndio wanaruhusiwa.
So wewe ndio una matatizo ya kufundisha
 
Unamatatizo ya kuelewa rudi ukasome post yangu ya kwanza nimeipost saa moja na dakika 57 asubuhi utanielewa jinsi nilivyo andika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…