Kugonga jembe la trekta ni kosa?

Kugonga jembe la trekta ni kosa?

KIMATIRA

Senior Member
Joined
Dec 3, 2015
Posts
184
Reaction score
144
Nijuavyo Kuna vyombo ambavyo haviruhusiwi kutembea usiku barabarani pia ni kosa kugongwa gari kwa nyuma.
Naomba kujua je mtu akigonga jembe la trekta usiku ni kosa? Na je polisi wakikagua trekta na kudai lina taa ni halali wakati jembe halina reflector na pia ukipima umbali toka kwenye taa mpaka umbali gari ilipogonga kisu cha jembe ni umbali wa kisheria?
Pia naomba kujua trekta inaruhusiwa kubeba watu wangapi? Na je kwenye ajali ya namna hiyo majeruhi zaidi ya dereva haki zao ni zipi?
Asanteni
 
Jukwaa la sheria limepungukiwa, wapi manyerere, Pasco nk?
 
Back
Top Bottom