Miss Curious
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 315
- 497
Nyagi mie siiwezagi kabisa nitazimaaaaSiku akikuvutia bangi atang'oa hadi hicho kisiki kabisa!
Dawa ya moto ni moto,,,, akikugongea na wewe mgongee
Akikuvutia na wewe mvutie
Sent using Jamii Forums mobile app
Bangi kawaida tu mzee ni kama kunywa majiSiku akikuvutia bangi atang'oa hadi hicho kisiki kabisa!
Dawa ya moto ni moto,,,, akikugongea na wewe mgongee
Akikuvutia na wewe mvutie
Sent using Jamii Forums mobile app
Waache wagonge ni wakati waoKwa uzi huu wanaume wa Dar wataanza kunywa konyagi kama maji
Sio lazima nyagi, kunywa hata vibia vinneNyagi mie siiwezagi kabisa nitazimaaaa
Mapigo yake unayaonaje? Lazima ukimbiwe kabla ya mechi kuishaBangi kawaida tu mzee ni kama kunywa maji
Kumaliza mlima kitonga na ww acha basi utoto
Ili unifanyaje kwa mfano?
Ili unifanyaje kwa mfano?
Sina exprience ya kuwa na relation na wavuta bangi mie wapite hukooo
[emoji848][emoji848]
Mm naombwa kujuzwa baada ya kutomaliza ww ulifanya nn
Pengine uliye nae ni mtumiaji hujajua tuSina exprience ya kuwa na relation na wavuta bangi mie wapite hukooo
Si mpaka wawe na hivyo vifua sasa vya kupitisha moto,.mwanaune wa Dar kanywa sana yaani hapo kanywa haswaa castle lite...au pepsi big,.wanalinda mapafu na sura zao laini shosti..Kwa uzi huu wanaume wa Dar wataanza kunywa konyagi kama maji