Kugongea nyagi

Kugongea nyagi

QUOTE="aretasludovick, post: 33822102, member: 315488"]
Hata wakwangu alikuwa akisemaga hivo lakini siku aliponifuma alilia kidogo mwisho akanikubali

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE]
Atakuwa hajiwezi kiuchumi sio mie nina elimu yangu na kakipato kangu niishi na mvuta bangi subutu
 
ingepitiliza adi upande wa nyuma ya shilingi ndo ungefurahi zaidi
 
njoo pm mimi nyag
Nimekutana nayo last weekend aisee we acha tu!

Sirudii tena kumruhusu shem wenu agonge nyagi kabla ya mechi. Yani hakumaliza mapema kabisa.

Nilikuwa nasikiaga tu "sijui nikagongee nyagi" now nimenyoosha mikono!!
njoo pm mimi nyagi na bananaaa ndo vinywaji vyangu mbaya zaid pesa sio tatizo bebiii unangoja nn
 
Nimekutana nayo last weekend aisee we acha tu!

Sirudii tena kumruhusu shem wenu agonge nyagi kabla ya mechi. Yani hakumaliza mapema kabisa.

Nilikuwa nasikiaga tu "sijui nikagongee nyagi" now nimenyoosha mikono!!
Samahani mkuu, hivi mumewako alisha pata suluhishi la kiba100..??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si mpaka wawe na hivyo vifua sasa vya kupitisha moto,.mwanaune wa Dar kanywa sana yaani hapo kanywa haswaa castle lite...au pepsi big,.wanalinda mapafu na sura zao laini shosti..


Hahahahaja...nimecheka kwa uchungu mkubwa sana🤣🤣!had nimeshindwa jikaza hahaah!imagine unakutana na mtu yy anakunywa pepsi masaa3 jamani!unabak unajiuliza ..bora akalale au ale matunda tu!
Zamani zamani unasubiria uulizwe unakinywa nn..sku hiz mm napitia kinywaji changu kaunta nafika nakaa!hata km ulikua una nia ya "giza" kwangu automatic itakupunguzia ngv sana!
 
Back
Top Bottom