"Kugundua Hazina Yako ya Kipekee: Njia ya Kugundua Kipaji Chako"

"Kugundua Hazina Yako ya Kipekee: Njia ya Kugundua Kipaji Chako"

Joined
Dec 17, 2022
Posts
73
Reaction score
46
1.kutafakari juu ya mambo unayopenda kufanya katika wakati wako wa ziada.
2.Jifunze juu ya mambo mbalimbali. Kusoma na utafiti vinaweza kukusaidia kugundua masomo unayopenda na kuwa na kipaji.
3.Jaribu vitu vipya.Kujaribu shughuli tofauti kutakusaidia kugundua vipaji visivyokuwa vya kawaida.

Kupata somo zima unaweza kulitazama youtube;
View: https://youtu.be/NTeTWdEXiXI
 
Back
Top Bottom