Habari wana intelijensia!
Na hoja kidogo hapa! Chanzo ama asili ya lugha ni nini? Je, nina weza kugundua kueneza na kukuza lugha mpya? Inawezekana hili? Tujadili!!
inawezekana kabisa kinachotakiwa ni utashi tuu kwakuwa lugha huzaliwa hukua/ huenea na hufa. kilatin ilikuwa lugha inayoishi lakini leo ni lugha ya vitabuni zaidi IMEKUFA