8mbps unasema ina speedWanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite.
Aisee hala kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya muda mfupi.
Kuna wifi moja hapa ina kasi kuanzia mb 8 nna wiki naitumia.
Wakuu jaribuni wifite, ila inafanya kazi kwenye linux tu na kwa commands tu.
Sio gbs, ni mbs. Mkuu hizi superkasi kifurushi cha chini ni mb sisjui 20 na inabadilika sio fixed.8gbps unasema ina speed
tuma screenshot ya hio appa playstore, mkuu kuna mahala nikalize watu.Wanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite.
Aisee haka kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya muda mfupi.
Kuna wifi moja hapa ina kasi kuanzia mb 8 nna wiki naitumia.
Wakuu jaribuni wifite, ila inafanya kazi kwenye linux tu na kwa commands tu.
Linux sawa sawa na computer... Si app ina work kwenye linux igoogle inaitwa wifitetuma screenshot ya hio appa playstore, mkuu kuna mahala nikalize watu.
Toa maelezo zaidi mkuu, hata usijali kabisa.Linux sawa sawa na computer... Si app ina work kwenye linux igoogle inaitwa wifite
Mkuu we itafte ina maelezo yote hakuna cha ziada nikuinstall na kurun command ina scan inakuletea wifi ilizopata na pass zakeToa maelezo zaidi mkuu, hata usijali kabisa.
Hizo app zinazofanya ili upate password zinakomba password zako zote, ina maana mnakua kama mna share password, ukipata ya wenzako na ya kwako inachukuliwa.tuma screenshot ya hio appa playstore, mkuu kuna mahala nikalize watu.
Mkuu nilisoma inavyofanya kazi ina make sense.Hizo app zinazofanya ili upate password zinakomba password zako zote, ina maana mnakua kama mna share password, ukipata ya wenzako na ya kwako inachukuliwa.
Mkuu kwakweli sijajua.Kwa wa Android tuna pita na app ipi ?
hmm, bila namna yoyote ya brute-force(trial-and-error to guess password) , jibu ni hapanahapo ndipo inanasa password
Mkuu brute force si ni sawa na impossible,hmm, bila namna yoyote ya brute-force(trial-and-error to guess password) , jibu ni hapana
je ni hii hapa ?Mkuu brute force si ni sawa na impossible,
Nachokwambia ilinipa password za wifi 8 na mojawapo ilikuwa wifi ya simu ya mdogo wangu ambayo ni vombination ya jina lake na 333@ na naijua nilivyoiona hiyo tu nikajua tayari.
Nikaanza jaribu moja moja na zote zilikubali ila mwisho wa siku nnatumia moja tu. Toka jumamosi ile mpaka leo inapga kazi mchana usku iko on tu
Mkuu nataka nijaribu ku install kwenye termux, sijui itakubali au vipi, make simu ndo niko nayo muda wote, PC yangu ni desktop kisanga hicho.Yes mkuu ndio hiyo