Kuhack password ya wi-fi

Kuhack password ya wi-fi

leoleo-tu

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2018
Posts
2,224
Reaction score
6,784
Wanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite.
Aisee haka kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya muda mfupi.
Kuna wifi moja hapa ina kasi kuanzia mb 8 nna wiki naitumia.
Wakuu jaribuni wifite, ila inafanya kazi kwenye linux tu na kwa commands tu.
 
Aisee hala kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya muda mfupi.
Kuna wifi moja hapa ina kasi kuanzia mb 8 nna wiki naitumia.
Wakuu jaribuni wifite, ila inafanya kazi kwenye linux tu na kwa commands tu.
8mbps unasema ina speed
 
8gbps unasema ina speed
Sio gbs, ni mbs. Mkuu hizi superkasi kifurushi cha chini ni mb sisjui 20 na inabadilika sio fixed.
Mimi hizi 8 mbs zinanitosha maana zaidi ya video calls, na kustream youtube videos, sina nnachopakua na hata bikitaka kupakua kitu nakiacha inapakua overnight kama ni kikubwa + siilipii chochote
 
Unanikumbusha mwaka 2016, 2017 na 2018 tulikuwa tunaishi jirani na ofisi fulani ya umma. Tukawa tunaona watu wanapishana tu na vi-pc vyao mpaka usiku wanakaa upenuni, kumbe wana password ya serikali sisi hatujui.

Tulivyokuja kusoma mchezo hatukuwahi kununua kifurushi mpaka baadaye walivyobadili pasword.
Sema na wao walikuwa wajinga maana pasword ilikuwa simple sana ina jina la taasisi plus 2015.
 
Wanasema kizuri kula na nduguyo.
Nimehamia mtaa fulani hivi wa raia wamejifungia kwenye mageti yao.
Sasa huku fibre hakuna ila raia wamefunga superkasi.
Katika kuhangaika nikapata tool moja inaitwa wifite.
Aisee haka kadude ukiscan kanakuletea wifi zote zinazopatikana na password zake ndani ya muda mfupi.
Kuna wifi moja hapa ina kasi kuanzia mb 8 nna wiki naitumia.
Wakuu jaribuni wifite, ila inafanya kazi kwenye linux tu na kwa commands tu.
tuma screenshot ya hio appa playstore, mkuu kuna mahala nikalize watu.
 
Hizo app zinazofanya ili upate password zinakomba password zako zote, ina maana mnakua kama mna share password, ukipata ya wenzako na ya kwako inachukuliwa.
Mkuu nilisoma inavyofanya kazi ina make sense.
Kabla ya hapo nilijaribu moja ambayo inamlazimisha mwenye hyo wifi kwa kumtoa na kumlazimisha aweke password so anapoweka basi nawe unapata copy.
Sasa hii haifanyi hivyo inafanya kwa kutumia mechanism sijui ya wakati drvice ambayo tayari iko connected inapokuwa ima exchange packets na router hapo ndipo inanasa password. Ni technical ila sijayaelewa.
Ila baada ya kuscan iliniletea wifi 6 mtaani na password.
3 niligundua zilukuwa simu za watu hivyo nikaachana nao. 2 hazikuwa na nguvu moja nayotumia ndiyo ina nguvu.
Halafu password za watu ni rahisi sana. Hii password yake ni moja hadi 8
 
hmm, bila namna yoyote ya brute-force(trial-and-error to guess password) , jibu ni hapana
Mkuu brute force si ni sawa na impossible,
Nachokwambia ilinipa password za wifi 8 na mojawapo ilikuwa wifi ya simu ya mdogo wangu ambayo ni vombination ya jina lake na 333@ na naijua nilivyoiona hiyo tu nikajua tayari.
Nikaanza jaribu moja moja na zote zilikubali ila mwisho wa siku nnatumia moja tu. Toka jumamosi ile mpaka leo inapga kazi mchana usku iko on tu
 
je ni hii hapa ?
 
Tatizo la Wanafunzi wa IT wa kibongo wengi wenu ni majuha,mazwazwa,matahira,mazumbukuku na malimbukeni,wewe unaenda kusoma chuo IT unatoka huko unakuja kuiba password kwa ajili ya Mbs na Gbs ili uingie kusoma umbea wa Mange Kimambi Instagram na Kuwochi Music za kina Mondi,hivi huwa mnaakili timamu kweli?

Wenzio wanaanzisha APPS za kutatua Changamoto kwenye Jamii wanapiga pesa wewe kazi kuwaibia wadogo zako password za Wi-Fi!.

Aiseeeee!
 
Back
Top Bottom