Kuhack password ya wi-fi

Kuhack password ya wi-fi

mpangilio wa Jinsi ya kuinstall wifite lazima kwanza uwe umeinstall python angalau version 2 ...python2 au 3 unayo?
Lazma uwe na git repository umeunganisha?
Kama zote zipo niambie
Mkuu haitakuja kuhitaji external wife dongle wakati wa ku scan hizo wifi.
 
Kuchange directory...
cd ikifuatiwa na hiyo unayotaka kuuchangia mfano wifite... Itakuwa
cd wifite
Screenshot_20231007-084321.png


Ngoma bado ipo hapi user for github.com kuna cha kuingeza au nitulie kwanza?
 
Nashangaa mubundle yangu yanaisha faster kumbe unaiba WiFi yangu
 
Back
Top Bottom