Kuhack password ya wi-fi

mpangilio wa Jinsi ya kuinstall wifite lazima kwanza uwe umeinstall python angalau version 2 ...python2 au 3 unayo?
Lazma uwe na git repository umeunganisha?
Kama zote zipo niambie
Mkuu haitakuja kuhitaji external wife dongle wakati wa ku scan hizo wifi.
 
Kuchange directory...
cd ikifuatiwa na hiyo unayotaka kuuchangia mfano wifite... Itakuwa
cd wifite


Ngoma bado ipo hapi user for github.com kuna cha kuingeza au nitulie kwanza?
 
Hpana maana utatumia repository za git ila kma utafanya maping mwenyew ndo utakubdi kutumia external
Mkuu mi nimeamua next week niweka kali linux tu, naona android mizinguo mingi sana, tools nyingi zinakuja kwa ajili ya PC.
 
Nashangaa mubundle yangu yanaisha faster kumbe unaiba WiFi yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…